Waziri wa habari, mawasiliano,na teknolojia ya habari Mhe Nape Nnauye (Mb), akishuhudia Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Mohammed Khamis Abdulla, pamoja na Afisa Mtendaji wa Benki ya NMB Tanzania, Bi. Ruth Zaipuna, wakitia saini makubaliano ya ushirikiano kati ya Wizara na Benki hiyo.

@wizarahmth

@Nnauye_Nape

Ad
Image

Ad

Unaweza kuangalia pia

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 07, 2024 ameongoza Mkutano wa kazi wa Mawaziri na Naibu Mawaziri uliofanyika kwenye ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma.

Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *