Rais Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa katika Kiwanda cha Karafuu cha Indesso Aroma nchini Indonesia wakati alipohitimisha ziara yake. Kiwanda hicho kikubwa kinatengeneza bidhaa mbalimbali kutokana na malighafi ya zao hilo la Karafuu
MatokeoChanya
January 26, 2024
Matokeo ChanyA+, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+
246 Imeonekana