HOTUBA YA NAIBU WAZIRI MKUU DKT DOTO BITEKO UZINDUZI MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA WOTE

UZINDUZI WA MKAKATI WA TAIFA WA MATUMIZI YA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 2024-2034

Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034″ ni mpango mpana uliowekwa na serikali ya Tanzania kuboresha matumizi ya nishati safi kwa kupikia. Mkakati huu unalenga kufikia asilimia 80 ya Watanzania watumie nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2033. Mkakati unajumuisha usambazaji wa majiko banifu na gesi asilia, pamoja na kuimarisha miundombinu na elimu kuhusu matumizi ya nishati safi.

Ad

#NishatiSafiKwaWote

Ad

Unaweza kuangalia pia

“Tusikubali Kuwa Tarumbeta za Watu Wasio Tutakia Mema”

“Tusikubali kuwa tarumbeta za Watu wasio tutakia mema, Maadili Yetu Mazuri Ya Kitanzania Lazima Tuyatunze, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *