Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

WAZIRI MKUU MAJALIWA: MARA WEKENI MKAKATI WA KUITANGAZA MBUGA YA SERENGETI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Mkoa wa Mara na Watendaji katika Sekta ya Utalii wabadilike na waweke mkakati wa kuitangaza mbuga ya Serengeti ili kuweza kuvutia zaidi watalii na kuitambulisha mbuga hiyo kuwa iko mkoa humo. Amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA DKT. PHUMZILE MLAMBO MSAIDIZI WA KATIBU MKUU WA UN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wanawake UN Women Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar …

Soma zaidi »

MAJALIWA AAGIZA UCHUNGUZI WATENDAJI WIZARA YA FEDHA

Waziri Mkuu, Mheshimwa Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Mkaguzi Mkuu,  Mkaguzi  Msaidizi pamoja na baadhi ya watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha  za umma zinazowakabili. Akizungumza katika Kikao Kazi na Waziri wa Fedha na Mipango, Kaibu Mkuu,Manaibu  Katibu Wakuu na Watendaji Waandamizi wa Wizara …

Soma zaidi »

SERIKALI YAANZA UTEKELEZAJI WA MAELEKEZO YA RAIS NA IMF

Na Farida Ramadhan, WFM – Dodoma Serikali imeanza utekelezaji wa maelekezo ya kikao cha Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Kimataifa (IMF), Bi. Kristalina Georgieva kilichofanyika kwa njia ya mtandao mwanzoni mwa mwezi huu ambacho pamoja na mambo mengine walijadili kuhusu atheri za kiuchumu …

Soma zaidi »

TANZANIA YASISITIZA KUWA BADO NI MWANACHAMA WA MAHAKAMA YA AFRIKA KUHUSU HAKI ZA BINADAMU NA WATU

Tanzania imesema bado ni mwanachama hai wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu na kwamba itaendelea kushirikiana na Mahakama hiyo pamoja na Taasisi nyingine za Utawala bora na haki za binadamu kuhakikisha haki za kila Mtanzania zinalindwa na kutetewa. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa …

Soma zaidi »

WAZIRI KALEMANI – MRADI WA JNHPP UTAANZA KUZALISHA UMEME UTAKAOTUMIKA KATIKA GRIDI YA TAIFA KUANZIA MWEZI JUNI 2022

Zuena Msuya na Henry Kilasa, Pwani Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani amewaeleza watanzania kuwa mradi wa kufua Umeme wa Julius Nyerere ( JNHPP) utaanza kuzalisha Umeme utakaotumika katika gridi ya taifa kuanzia Mwezi Juni 2022 kwa kuwa hatua ya ujenzi ya maeneo muhimu ya kuzalisha umeme yamefikia 52.8% mpaka sasa. …

Soma zaidi »