Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Chake Chake Kisiwani Pemba mara baada ya kufungua Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Karafuu House, Chake Chake Kisiwani Pemba tarehe 09 Januari, 2024.
Soma zaidi »MatokeoChanya
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua moja ya mtambo uliotolewa na Serikali kwa Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini, (RUWASA) kwa ajili ya kuchimba visima Mkoani humo, alipofanya ziara katika ofisi za Mamlaka hiyo Januari 8, 2024.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Kiongozi wa United Methodist Church Bishop Dkt. Mande Muyomba katika ofisi ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam leo tarehe 8 Januari, 2024.
PIKIPIKI ZILIZOTELEKEZWA KWA MIAKA MITATU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua pikipiki zilizotelekezwa kwenye stoo ya Wakala wa Maji na usafi na Mazingira Vijijini, Mkoa wa Lindi, alipofanya ziara katika ofisi zao. Pikipiki hizo zilinunuliwa mwaka 2021 kwa ajili ya kuzigawa kwa Jumuiya za Watumiaji maji Mkoa wa Lindi.
Soma zaidi »TAARIFA KUTOKA AIR TANZANIA
TAARIFA UFAULU DARASA LA NNE NA KIDATO CHA PILI
HATUA ZA MAENDELEO ZANZIBAR CHINI YA Mhe RAIS DKT MWINYI
pic.twitter.com/HAi3fHvtm7— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 7, 2024
Soma zaidi »TAARIFA KWA UMMA KUTOKA NHIF
UWEKAJI MSINGI AFISI YA UHAMIAJI NA MAKAZI YA ASKARI KUSINI PEMBA
MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
MAJIBU: Swali lililouzizwa kwa Makatibu wakuu wa Vyama juu ya uelewa wao wa falsafa ya Rais Mhe. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ya 4R’s (Reconciliation, Resilience, Reforms na Rebuilding. #ImarishaDemokrasia #TunzaAmani #KaziIendelee pic.twitter.com/M617uI0me3— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 4, 2024
Soma zaidi »