Waziri Wa Nchi Mhe Mchengerwa Akutana Na Mkurugenzi Mkazi Wa USAID Tanzania
Waziri wa Nchi @ortamisemitz Mhe. Mohamed Mchengerwa amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkazi ‘Mission Director” wa Shirika la Misaada la Watu wa Marekani @USAIDTanzania, @craighart kwenye Ofisi ndogo za Wizara zilizopo magogoni jijini Dar es salaam leo
Soma zaidi »Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kitaifa nchini Vatican kuanzia tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024 kufuatia mwaliko wa kiongozi mkuu wa Vatican na Kanisa Katoliki duniani Papa Francis.
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Ibada Maalum ya Kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa inayofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kumuwakilisha Mhe Rais Samia Suluhu Hassan Kwenye Kikao Cha Wakuu Wa Nchi Na Serikali Zisizofungamana Na Upande Wowote (NAM)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika kwenye uwanja wa Amani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan wakati alipofika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake hapa nchini.
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 10 Januari, 2024 ameongoza kikao cha Kamati ya Uongozi ya IPU kinachojumuisha Wajumbe kutoka nchi 18 Duniani, kilichofanyika kwa njia ya mtandao.
MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
MAJIBU: Swali lililouzizwa kwa Makatibu wakuu wa Vyama juu ya uelewa wao wa falsafa ya Rais Mhe. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ya 4R’s (Reconciliation, Resilience, Reforms na Rebuilding. #ImarishaDemokrasia #TunzaAmani #KaziIendelee pic.twitter.com/M617uI0me3— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 4, 2024
Soma zaidi »MISWADA YA SHERIA ZA UCHAGUZI NA SHERIA ZA VYAMA VYA SIASA
Madhumuni muhimu Ya mkutano huu, ni kujadili na kuelewa kwa kina falsafa ya "4R" iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan. "4R" inaashiria Reconciliation (Maridhiano), Reforms (Mageuzi), Regulations (Sheria), na Rebranding (Kuibadilisha Upya). #ImarishaDemokrasia @ikulumawasliano pic.twitter.com/oyISgqPJXb— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 4, 2024
Soma zaidi »