Rais Samia Suluhu Hassan akinawishwa mikono na Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo mara baada ya kupanda mti wa kumbukumbu katika viwanja vya Makazi ya Rais huyo yaliyopo mji wa Bogor (Bogor Presidential Palace)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la heshima wakati wa mapokezi yake Rasmi katika viwanja vya Bogor Presidential Palace
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Mhe. Salvador Valdés Mesa alipowasili Ikulu Jijini Dar es salaam akiwa ziarani nchini Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimpokea Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Mhe. Salvador Valdés Mesa alipowasili Ikulu Jijini Dar es salaam akiwa ziarani nchini Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, Tangerang kwa ajili ya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba, Mhe. Salvador Valdés Mesa akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam
Waziri Wa Nchi Mhe Mchengerwa Akutana Na Mkurugenzi Mkazi Wa USAID Tanzania
Waziri wa Nchi @ortamisemitz Mhe. Mohamed Mchengerwa amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkazi ‘Mission Director” wa Shirika la Misaada la Watu wa Marekani @USAIDTanzania, @craighart kwenye Ofisi ndogo za Wizara zilizopo magogoni jijini Dar es salaam leo
Soma zaidi »