Mageuzi yana nafasi muhimu katika kuboresha mifumo ya kiutawala, kiuchumi, na kijamii, kama inavyotamkwa katika Katiba ya Tanzania. Katiba inaelekeza kwamba serikali ina wajibu wa kuhakikisha kuwa rasilimali za taifa zinatumiwa kwa manufaa ya Watanzania wote na kwamba kuna uwazi na uwajibikaji katika utendaji wa shughuli za serikali. Rais Samia …
Soma zaidi »Rais Samia, Rais Wa Maridhiano
Maridhiano ni mojawapo ya nguzo kuu za demokrasia ambayo imeainishwa katika Katiba ya Tanzania, hususan kwa kuhakikisha kuwa haki na uhuru wa kila raia vinaheshimiwa (Sehemu ya Tatu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977). Rais Samia, kupitia sera ya maridhiano, anajenga msingi wa umoja wa kitaifa kwa …
Soma zaidi »Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania katika ziara maalumu ya kuboresha mahusiano nchini Cuba
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania iko tayari kushirikiana na Serikali ya Cuba kujenga kiwanda kikubwa cha kuzalisha chanjo mbalimbali ikiwemo chanjo ya homa ya ini. Amesema viwanda vya dawa nchini Cuba vikiwemo vinavyotengeneza dawa zinazotokana na mimea tiba vimeiwezesha nchi hiyo kupunguza utegemezi wa kuagiza dawa kutoka …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Gabriel Mugabe kwa ajilli ya kushiriki Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Harare nchini Zimbabwe
#MSLAC #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam
Mawaziri hao walioapa ni: Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (Mb.) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria; Mhe. William Vangimembe Lukuvi (Mb.) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu); Mhe. Jenista Joackim Mhagama (Mb.) kuwa Waziri wa Afya; na Mhe. Balozi Dkt. Pindi Hazara …
Soma zaidi »Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na kuzungumza na Viongozi wa Ofisi hiyo, Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (NSSF, PSSSF na WCF) pamoja na watendaji Bungeni jijini Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) amewasili katika viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma katika hafla ya Tangazo la Uchaguzi wa Mitaa 2024
Kauli mbiu ya Uchaguzi “Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze kushiriki Uchaguzi”
Soma zaidi »Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Sekretariet ya Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Masuala ya Ushirikiano katika Usimamizi na Menejimenti ya Taka za Plastiki Bi. Clemence Schmid, Chamwino Dodoma
Katika mazungumzo hayo, Makamu wa Rais amesema serikali imedhamiria kushirikiana na wadau, sekta binafsi pamoja na jumuiya ya kimataifa katika kupambana na tatizo la taka za plastiki nchini. Amesema uzoefu unaonesha kwamba ushirikiano ni njia bora zaidi itakayowezesha kukabiliana na tatizo hilo kwani yapo maeneo ambayo taka za plastiki hutupwa …
Soma zaidi »Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini, Mhe. Ronald Lamola na Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar, Mhe. Dkt. Rasata Rafaravavitafika pembezoni mwa Mkutano wa Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Harare, Zimbabwe.
Akizungumza na Mhe. Lamola, Waziri Kombo ameeleza kuwa Tanzania itaendelea kudumisha ushirikiano wa kihistoria na kindugu uliopo baina ya Tanzania na Afrika kusini ili kukuza sekta za kiuchumi ikiwemo biashara, utalii, uwekezaji, elimu, afya na maeneo mengine ya kimkakati kwa maslahi ya pande zote mbili. Naye Mhe. Lamola ameeleza …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Mali, Mheshimiwa Madou Diallo.
Balozi Diallo amemshukuru Rais Samia kwa mapokezi mazuri na kueleza dhamira yake ya kuendeleza na kukuza mahusiano mazuri kati ya Tanzania na Mali. Amesisitiza kwamba atafanya kazi kwa bidii kuhakikisha kuwa nchi hizi mbili zinanufaika na ushirikiano wao katika nyanja mbalimbali. Mheshimiwa Diallo, ambaye atakuwa na makazi yake jijini Addis …
Soma zaidi »