Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya ziara katika kituo cha kupooza umeme kilichopo Ifakara, mkoani Morogoro. Ziara hii ililenga kukagua maendeleo na ufanisi wa kituo hicho ambacho kinapokea laini mbili za umeme kutoka vyanzo vya Kidatu na Kihansi. Kituo cha kupooza umeme cha Ifakara …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ‘selfie’ na wananchi wa Morogoro wakati akiondoka katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro mara baada ya kuwahutubia tarehe 06 Agosti, 2024.
MZEE PETER FRANCIS MREMA APONGEZA UONGOZI WA RAIS SAMIA KWA UTEKELEZAJI BORA WA MIRADI YA KIMKAKATI
Mzee Peter Francis Mrema, mmoja wa wazee maarufu katika mkoa wa Morogoro, ametoa pongezi za dhati kwa uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa utekelezaji bora wa miradi ya kimkakati nchini. Mzee Mrema alielezea kuridhishwa kwake na jinsi serikali imekuwa ikiwekeza …
Soma zaidi »Rais Samia Atembelea Kituo cha Kupoza Umeme Ifakara
Morogoro, 4 Agosti 2024 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro kwa kutembelea Kituo cha Kupoza Umeme Ifakara. Ziara hii ni sehemu ya juhudi za Rais Samia kufuatilia na kutathmini maendeleo ya miradi ya nishati nchini. …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Ifakara, Ulanga, Mlimba na Malinyi kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa CCM Ifakara, Kilombero Mkoani Morogoro tarehe 05 Agosti, 2024.
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC
Soma zaidi »Rais Samia Suluhu Ifakara
Katika hotuba yake, Rais Samia aliwashukuru wananchi wa Ifakara kwa mapokezi mazuri na kueleza kuwa serikali yake imejipanga kuendelea kuboresha huduma za msingi kama vile elimu, afya, na miundombinu. Aliwaeleza kuwa miradi mikubwa kama Kituo cha Kupoza Umeme Ifakara na reli ya SGR ni sehemu ya mkakati wa serikali katika …
Soma zaidi »Uzinduzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mtibwa, Rais Samia Aimarisha Sekta ya Kilimo na Uzalishaji wa Sukari Nchini
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 na Awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba na umwagiliaji katika Kiwanda cha Sukari Mtibwa, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi katika Wilaya ya Mvomero, Mkoani Morogoro, tarehe 03 Agosti, 2024. Uzinduzi …
Soma zaidi »DKT. HENRY MPUMPI AELEZEA FAIDA ZA HOSPITALI MPYA YA WILAYA YA GAIRO BAADA YA UZINDUZI NA RAIS SAMIA
Mganga Mfawidhi Wa Hospitali Ya Wilaya Ya Gairo Dkt. Henry Alex Mpumpi Akielezea Faida Zitakazopatikana Kufuatia Uzinduzi Wa Hospitali Ya Wilaya Hiyo Uliofanywa Na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Tarehe 02/08/2024
Soma zaidi »RAIS SAMIA AZINDUA DARAJA LA BEREGA KILOSA, WANANCHI WAPONGEZA JUHUDI ZA MIUNDOMBINU NA UCHUMI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 02 Agosti 2024, amezindua rasmi Daraja la Berega, Wilayani Kilosa, mkoani Morogoro. Daraja hili, lenye urefu wa mita 150 na upana wa mita 10, limejengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 12 na linatarajiwa kurahisisha usafiri na …
Soma zaidi »WANANCHI WILAYANI KILOSA WAISHUKURU SERIKALI KWA UJENZI WA DARAJA LA BEREGA
Wananchi wa Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, wameonyesha shukrani zao kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuzindua Daraja la Berega. Uzinduzi huo ulifanyika tarehe 02 Agosti, 2024, katika ziara ya kikazi ya Rais Samia mkoani Morogoro. Daraja hili muhimu limekuwa ni …
Soma zaidi »