MAWASILIANO IKULU

LIVE:RAIS MAGUFULI KATIKA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA MWALIMU JK NYERERE MKOANI LINDI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anahudhuria maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi

Soma zaidi »

SERIKALI YATENGA BILIONI 65 ZA KUJENGA MINARA YA MAWASILIANO

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetenga shilingi bilioni 65 kwa ajili ya kujenga minara ya mawasiliano kwenye maeneo mbali mbali nchini ili kuongeza upatikanaji wa huduma za mawasiliano kwa lengo la kukuza uchumi na kufanikisha utoaji wa huduma za Serikali kwa wananchi, wananchi waweze kuwasiliana wenyewe kwa wenyewe, …

Soma zaidi »

SERIKALI YAWATAKA MADIWANI KUTOA MAJINA YA MITAA

Serikali imewataka Madiwani wote nchi nzima kutoa majina ya mitaa ili kufanikisha utekelezaji wa mpango wa anwani za makazi na postikodi Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye wakati akifungua mafunzo ya kujenga uelewa kuhusu umuhimu na manufaa ya kutekeleza mpango wa anwani za makazi …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA MSAMAHA KWA WASHTAKIWA WA UHUJUMU UCHUMI

  Rais Dkt. John Magufuli amepokea taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa tarehe 22 Septemba, 2019 kuhusu kuwasamehe washtakiwa wa makosa ya uhujumu uchumi waliotayari kukiri makosa yao, kuomba msamaha na kurejesha fedha na mali. Akitoa taarifa hiyo Ikulu Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Biswalo Mganga amesema …

Soma zaidi »