#KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Soma zaidi »“Tunapaswa kuepuka migawanyiko na kuchochea maridhiano ya kitaifa ili tuwe na umoja na mshikamano wa kuijenga nchi yetu kwa pamoja. ” @SuluhuSamia
#KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya
Soma zaidi »“Lengo la 4R ni kurudisha mshikamano wa kitaifa, kuimarisha uthabiti wa uchumi wetu, kufanya marekebisho katika mifumo na sera, na kujenga upya misingi ya maendeleo endelevu.” @Samiasuluhu
#KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya
Soma zaidi »SISI NI WATANZANIA
Amani Utulivu, Umoja, Mshikamano, vidumu daima. #SisiNdioWajenziWaTanzsniaYetu#KaziIemdelee#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya
Soma zaidi »HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MKUTANO WA JUKWAA LA USHIRIKIANO FOCAC
Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliohudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mnamo Septemba 5, 2024, jijini Beijing, umeleta fursa muhimu kwa Tanzania kiuchumi na kijamii. Manufaa Kiuchumi: Uwekezaji katika Miundombinu: Kupitia FOCAC, Tanzania imepata fursa ya …
Soma zaidi »Makamu wa Rais katika kilele cha Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 50 ya Kanisa la New Life Outreach iliyofanyika katika kanisa hilo Sakina mkoani Arusha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa viongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Ofisi ya Msajili wa Jumuiya, kusimamia kikamilifu Sheria ya Usajili wa Jumuiya pamoja na kanuni zake ili kuhakikisha kuwa Taasisi zinazosajiliwa zikiwemo za kidini …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na Watanzania wanaoishi nchini China (Diaspora) wakiwemo wafanyakazi, wanafunzi na wafanyabiashara, Jijini Beijing
Bandari Yetu, Maendeleo Yetu
Kati ya mwaka 2021 hadi 2023, bandari za Tanzania zimeonyesha mafanikio makubwa katika ukusanyaji wa mapato na utoaji wa huduma. Kwa mfano, Bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni mojawapo ya bandari kuu nchini, ilihudumia tani milioni 12.05 za mizigo kati ya Julai na Desemba 2023, ikivuka lengo la tani …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Wawekezaji na Viongozi wa Makampuni mbalimbali ya China
Makampuni hayo ni, Academy of Space Corporation (CASC), China Electronics Corporation, Transsion Group, Weihua Group, China Railway Construction Corporation (CRCC) pamoja na Acme Consultant Engineers PTE Limited na CND jijini Beijing, China tarehe 06 Septemba, 2024. Mhe. Rais yupo nchini China kwenye ziara ya kikazi ambapo alishiriki kwenye Mkutano wa …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping pamoja na Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema wakishuhudia uwekaji saini wa hati ya makubaliano ya kuboresha reli ya TAZARA katika ukumbi wa The Great Hall of the People jijini Beijing
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »