Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC)akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye viwanja vya Ikulu kwa ajili ya kuzungumza na Machifu kutoka Mikoa mbalimbali nchini, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Mhashamu Wolfgang Pisa
Mhashamu Wolfgang Pisa pia ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi, alipowasili wilayani Ruangwa kwa ajili ya Harambee ya Ujenzi wa Kanisa na maandalizi ya Jubilei ya miaka 25 ya Upadre wa Mhashamu Askofu Wolfgang na miaka 50 ya Upadre wa Mhashamu Askofu Bruno Ngonyani, ambaye ni Aksofu Mstaafu wa …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mahafali ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kozi ya 12 kwa Mwaka 2023/2024, Kunduchi Jijini Dar es Salaam
AMIRI JESHI MKUU WAKATI WOWOTE ULE ANAWEZA AKATENGENEZA TIMU YAKE ILI KUWALETEA USHINDI WATANZANIA
Amiri Jeshi Mkuu, katika nafasi yoyote ile, ana uwezo wa kutengeneza timu imara inayoweza kuwaletea ushindi wananchi wake. Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania, ameonyesha mfano bora wa jinsi ya kufanya hivyo Rais Samia amekuwa akiteua viongozi wenye sifa, uzoefu, na maadili mema katika nyadhifa mbalimbali …
Soma zaidi »Malezi bora ni msingi muhimu kwa taifa imara, na Katiba ya Tanzania inaweka misingi ya kuhakikisha watoto wanapata haki zao za msingi. Kifungu cha 11 cha Katiba kinatamka kuwa kila mtu ana haki ya kupata elimu. Kwa hivyo, kuhakikisha watoto wanapata elimu bora ni kutimiza hitaji la kikatiba.
Aidha, Katiba inasisitiza maadili na uzalendo. Malezi bora yanajumuisha kuwafundisha watoto maadili mema, heshima, na upendo kwa taifa lao. Kwa kuwalea watoto katika mazingira yenye maadili mema na kuwapatia elimu bora, tunawaandaa kuwa raia wema na wenye uzalendo wa kweli. Hii inasaidia kujenga taifa lenye umoja, amani, na maendeleo. #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu …
Soma zaidi »“MKAWE WAADILIFU NA MKISHI KIAPO HIKI, KINA MAANA KUBWA SANA KATI YENU NA MUNGU NA WANANCHI.”
KIAPO; Ukila KIAPO… 1. MUNGU ANAKUSHUHUDIA! 2. MAMLAKA ZINAKISHUHUDIA! 3. WANANCHI WANAKUSHUHUDIA! 4. KIAPO UKIKIDHIHAKI, KITAKUPIGA! 🇹🇿Rais Dkt Samia akiwaasa viongozi kuhusu KIAPO walichoapa mbele yake.
Soma zaidi »FAIDA ZA SGR KWA UCHUMI WA TANZANIA, SEKTA YA USAFIRISHAJI, NA AJIRA.
SGR ina uwezo wa kubeba hadi tani 10,000 za mizigo kwa mara moja. Hii inamaanisha inaweza kusafirisha mizigo mikubwa kwa urahisi na ufanisi mkubwa. Ina kasi ya hadi kilomita 160 kwa saa kwa treni za abiria na kilomita 120 kwa saa kwa treni za mizigo. Kasi hii inafanya iwezekane kusafirisha …
Soma zaidi »SGR; MRADI WA KIMKAKATI WA KUBORESHA UCHUMI WA TANZANIA NA KUSUKUMA MAENDELEO
SGR itapunguza muda wa safari kwa abiria kati ya miji mikubwa kama Dar es Salaam na Mwanza, hivyo kuboresha urahisi wa kusafiri na kuhamasisha biashara na utalii. Kupunguza Gharama za Usafirishaji Reli hii itawezesha usafirishaji wa mizigo kwa haraka na kwa gharama nafuu ikilinganishwa na barabara. Hii itasaidia wafanyabiashara kupunguza …
Soma zaidi »