Tanzania MpyA+

WAZIRI MULAMULA AMUAGA BALOZI WA UGANDA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula amemuaga Balozi wa Unganda nchini Richard Kabonero ambaye amemaliza muda wake wa uwakilishi hapa nchini katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika tukio hilo Waziri Mulamula amempongeza Balozi Kabonero kwa kazi nzuri aliyoifanya …

Soma zaidi »

SERIKALI IMERIDHIA OMBI LA WAKAZI WA MAGOMENI KOTA KUNUNUA NYUMBA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Msanifu majengo Daud Kondoro wakati alipokuwa akitoa maelezo kuhusu hatua mbalimbali za Ujenzi wa Nyumba 644 katika eneo la Magomeni Kota Mkoani Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

Soma zaidi »

WAZIRI MHAGAMA AHIMIZA KASI HATUA YA PILI YA UJENZI WA KIWANDA CHA KUCHAKATA BIDHAA ZA NGOZI KILIMANJARO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (katikati) akiwa ameogozana na Viongozi mbalimbali wanaosimamia Ujenzi wa kiwanda hicho cha Kilimanjaro International Leather Industries Co. Ltd alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya kiwanda hicho cha kutengeneza viatu sambamba na …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI KATAMBI ATAKA WAAJIRI KUZINGATIA SHERIA ZA KAZI KATIKA MAENEO YAO YA KAZI

Waajiri na wamiliki wa makampuni wameaswa kuzingatia sheria za kazi katika maeneo yao ya kazi ili waweze kuboresha mazingira ya utendaji kazi utakaoleta tija na ufanisi katika maeneo ya kazi. Kauli hiyo ametolewa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Patrobas Katambi …

Soma zaidi »

DARAJA LA MWASONGE KUUNGANISHA MISUNGWI NA NYAMAGANA

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), mkoani Mwanza umedhamiria kuunganisha Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Nyamagana kupitia ujenzi wa Daraja la Mwasongwe lililopo Mto Nyashishi ili kuwezesha wananchi kufanya shughuli zao za usafiri na usafirishaji kwa urahisi. Hayo yamesemwa na Meneja wa …

Soma zaidi »