Wakati Serikali ya Tanzania na Sekta Binafsi kupitia Chemba ya Migodi Tanzania wakishiriki kwa mara ya kwanza kwa pamoja katika Mkutano wa Mining Indaba nchini Afrika Kusini, wametumia nafasi hiyo kukaa kikao na kujadili masuala mbalimbali yenye lengo la kuboresha mazingira ya uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania. Kikao hicho …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BI JAMIE COOPER
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Bi. Jamie Cooper ambaye ni Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Big Win Philanthropy, Ikulu Chamwino, Dodoma tarehe 2 Februari, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Bi. Jamie Cooper …
Soma zaidi »RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKIMUAPISHA NDUGU DORIS NTULI KALASA KUWA KATIBU TAWALA WA MKOA WA IRINGA, KWENYE HAFLA ILIYOFANYIKA IKULU CHAMWINO TAREHE 2 FEBRUARI, 2024.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Mlimani City tayari Kwa Maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo cha Màji na Kongamano la Kimataifa la Kisayansi la Maji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman mara baada ya Kampeni ya upandaji Miti iliyofanyika Donge Zanzibar
Rais Samia Suluhu Hassan akipanda mti aina ya Muembe Pembeni (Mangifera indica) katika eneo la Donge Muwanda, Zanzibar wakati wa kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa tarehe 27 Januari, 1960. Upandaji miti ulifanyika katika eneo la Donge Muwanda Zanzibar
Mhe RAIS SAMIA APANDA MITI KUADHIMISHA SIKU YAKE YA KUZALIWA. HONGERA MAMA, KAZI IENDELEE
Kwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassani, katika siku yako hii ya kuzaliwa, tunakupongeza kwa kuleta nuru, hekima, na mabadiliko katika uongozi wa nchi yetu. Siku ya kuzaliwa kwako ni ishara ya mwanzo mpya na fursa za kuendeleza maadili na maendeleo kwa Watanzania wote. #MSLAC
HERI YA SIKU YA KUZALIWA MAMA
TANZANIA YAFUNGUA MILANGO KWA MAENDELEO; KUONGEZA UWEKEZAJI WA GESI, KUVUTIA BILIONI 1 ZA UWEKEZAJI, NA USHIRIKIANO NA INDONESIA.
Kuongeza Uwekezaji wa TPDC kwenye Kitalu cha Gesi Mnazi Bay Hatua ya kuongeza hisa za TPDC kwenye kitalu cha gesi Mnazi Bay ina lengo la kuimarisha udhibiti wa nchi katika rasilimali za gesi. Kuwa na umiliki mkubwa zaidi kunaweza kuongeza faida kwa Tanzania na kuhakikisha uwiano mzuri wa manufaa kati …
Soma zaidi »