Resilience (Uimara): Fursa za upinzani kutoa maoni yao: Kutoa ruhusa kwa maandamano kunaweza kutazamwa kama ishara ya uimara wa mfumo wa kisiasa wa nchi, ambapo vyama vya upinzani vinaweza kutoa sauti zao na kueleza malalamiko yao. #MSLAC #mamasamialegalaidcampaign
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Mhe. Salvador Valdés Mesa alipowasili Ikulu Jijini Dar es salaam akiwa ziarani nchini Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimpokea Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba Mhe. Salvador Valdés Mesa alipowasili Ikulu Jijini Dar es salaam akiwa ziarani nchini Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, Tangerang kwa ajili ya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba, Mhe. Salvador Valdés Mesa akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Nyumba, Nishati na Maendeleo ya Makazi wa Misri, Mhe. Assim Elgazzar ameipongeza Tanzania kwa kutekeleza Mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) ambao umefikia asilimia 95.83 hadi sasa.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo ameongoza mapokezi ya Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Liu Guozhong ambaye yupo nchini kwa ziara ya Siku Tatu.
Waziri Wa Nchi Mhe Mchengerwa Akutana Na Mkurugenzi Mkazi Wa USAID Tanzania
Waziri wa Nchi @ortamisemitz Mhe. Mohamed Mchengerwa amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkazi ‘Mission Director” wa Shirika la Misaada la Watu wa Marekani @USAIDTanzania, @craighart kwenye Ofisi ndogo za Wizara zilizopo magogoni jijini Dar es salaam leo
Soma zaidi »