Waziri wa Nyumba, Nishati na Maendeleo ya Makazi wa Misri, Mhe. Assim Elgazzar ameipongeza Tanzania kwa kutekeleza Mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) ambao umefikia asilimia 95.83 hadi sasa.
MatokeoChanya
January 23, 2024
Matokeo ChanyA+, Tanzania, Tanzania MpyA+, WIZARA YA NISHATI
101 Imeonekana