Tanzania MpyA+

TANZANIA KINARA MASUALA YA MAAFA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania imekuwa nchi ya kwanza kusaini mkataba wa kuanzisha Kituo cha Huduma za Binadamu na Operesheni za Dharura cha Kanda ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). “Lengo la kuanzisha kituo hicho ni kusimamia utoaji wa huduma na misaada ya kibinadamu kwa nchi wanachama. …

Soma zaidi »

CHANGAMOTO BANDARI YA MALINDI INASABABISHWA NA KUWA NA GATI MOJA DOGO LA KUSHUSHIA MIZIGO

Dk. Mwinyi amesema changamoto ya Bandari ya Malindi inasababishwa na jambo moja kuu ambalo ni kuwa na gati moja dogo la kushushia mizigo ambalo linasababisha foleni za meli kushusha hadi siku 7, hata hivyo alieleza kuwa utatuzi wa changamoto hiyo ni kuwa na bandari kubwa zaidi na gati nyingi zenye …

Soma zaidi »

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMEWASILI NCHINI WINGEREZA KUHUDHURIA MAZISHI YA MALKIA ELIZABETH II

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na muwakilishi wa Mfalme Charles III, Bi. Cynthia Gresham wa Uingereza pamoja na Balozi wa Tanzania nchini humo, Dkt. Asha-Rose Migiro mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Luton tarehe 17 Septemba, 2022 kwa ajili ya …

Soma zaidi »