Mahusiano kati ya Tanzania na China yana historia ndefu na yenye matokeo chanya. Tangu uhuru wa Tanzania, China imekuwa mshirika muhimu wa maendeleo, hasa katika sekta za miundombinu, viwanda, na elimu. Ushirikiano wao uliimarishwa kwa njia ya miradi mikubwa kama ujenzi wa reli ya TAZARA (Tanzania-Zambia Railway Authority) katika miaka …
Soma zaidi »Rais Samia Suluhu Hassan Akiwa Beijing
Rais Samia Suluhu Hassan @SuluhuSamia alikutana na Rais Xi Jinping huko Beijing. Rais Xi alieleza utayari wa China kuimarisha zaidi uhusiano na Tanzania ili kutoa mfano bora wa mahusiano kati ya China na Afrika na ushirikiano kati ya mataifa ya Kusini mwa Dunia.
Soma zaidi »Uzalendo ni msingi wa maendeleo ya taifa letu
“Uzalendo ni msingi wa maendeleo ya taifa letu. Ni lazima kila Mtanzania apende na kuthamini nchi yake kwa vitendo, kwa kuilinda, kuitetea, na kuhakikisha tunaacha alama bora kwa vizazi vijavyo. Kama Watanzania, tunao wajibu wa kuendeleza nchi yetu kwa umoja na mshikamano. Uzalendo si maneno tu, ni vitendo vya kila …
Soma zaidi »Kituo cha Afya Msomera Chatoa Huduma Kamili za Matibabu na Afya kwa Jamii
Dr. Lyidia Bulinga Mganga Mfawidhi Kituo cha Afya Msomera, kituo hiki kinatoa huduma za Matibabu kwa wagonjwa wa nje OPD, huduma za Uzazi na afya ya Mtoto RCH, huduma ya Mama na Mtoto, huduma za CTC kwa wagonjwa wenye maambukizi ya VVU na Huduma za Maabara vipimo vyote.
Soma zaidi »Kamanda Kanali Sadick Mihayo Aongoza Operesheni ya Ujenzi wa Nyumba 2,500 Msomera, Wilaya ya Handeni
Kanali Sadick Elius Mihayo Oparwsheni Kamanda Operesheni ya ujenzi wa nyumba 2500 Msomera wilayani Handeni.
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC)
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na wananchi wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Kitabu cha miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »Mtukio mbalimbali wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 kwa Jeshi hilo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride rasmi la miaka 60 la Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »