Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameonesha utayari wa Serikali ya Zanzibar kushirikiana na Taasisi ya Mabenki Yasiyo na Mipaka (Bankers without Boundaries) katika kuwekeza kwenye miradi ya kipaumbele ambayo italeta tija kwa nchi. Dk. Mwinyi alitoa kauli hiyo leo, tarehe 14 …
Soma zaidi »CP DKT. KYOGO: POLISI WAPO KWA AJILI YA KULINDA USALAMA WENU, USHIRIKIANO MUHIMU KUELEKEA UCHAGUZI
“Polisi wako hapa kwa ajili yenu, siyo kuwafanyia vitisho bali kuhakikisha usalama wenu unadumishwa. Tunahitaji ushirikiano wenu ili kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani na uadilifu,” CP Dkt . Ezekieli Kyogo Aliongeza kuwa, ni muhimu kwa wananchi wote kushirikiana na polisi katika kupambana na uhalifu, hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi …
Soma zaidi »4R KATIKA SHUGHULI ZA ULINZI WA RAIA NA MALI ZAO
KUBORESHA MAADILI , MALEZI MEMA, MIENENDO YA MAISHA KATIKA JAMII; WANANCHI WANASHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI NCHINI KUPUNGUZA NA KUTOKOMEZA UHALIFU KWA NJIA SHIRIKISHI Matokeo chanyA+ #KaziIendelee🇹🇿💪🏾
Soma zaidi »WATANZANIA WAPONGEZA UBORA WA TRENI YA SGR, MRADI ULIOLETA AJIRA NA KUBORESHWA KWA USAFIRI NCHINI
Wananchi wa Tanzania wameonyesha furaha na shukrani kwa serikali kutokana na ujenzi wa treni ya SGR, mradi ambao umeleta mabadiliko makubwa katika sekta ya usafiri nchini. Treni ya SGR inasifika kwa ubora wake, ikiwa na miundombinu ya kisasa inayorahisisha safari kwa muda mfupi na kwa usalama wa hali ya juu. …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka Balozi Mteule wa Italia hapa nchini Mhe. Giuseppe Sean Coppola, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Rwanda hapa nchini Mhe. Nyamvumba Patrick Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa India hapa nchini Mhe. Bishwap Dey Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ireland hapa nchini Mhe. Nicola Brennan Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Denmark hapa nchini Mhe. Jesper Kammersgaard Ikulu Jijini Dar es Salaam
Dhamira ya Mhe Rais Dkt. Samia ni kuwaleta Watanzania wote pamoja, bila kujali tofauti zao, ili kwa pamoja waweze kushiriki katika safari ya kujenga Tanzania ya kesho yenye mafanikio na ustawi kwa wote
Ni mwito wa kuwa na upendo kwa nchi, kuipa kipaumbele Tanzania na kuhakikisha kwamba kila hatua inayochukuliwa inasaidia katika kujenga taifa bora kwa vizazi vijavyo. #MSLAC #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »