Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman mara baada ya Kampeni ya upandaji Miti iliyofanyika Donge Zanzibar
Rais Samia Suluhu Hassan akipanda mti aina ya Muembe Pembeni (Mangifera indica) katika eneo la Donge Muwanda, Zanzibar wakati wa kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa tarehe 27 Januari, 1960. Upandaji miti ulifanyika katika eneo la Donge Muwanda Zanzibar
Mhe RAIS SAMIA APANDA MITI KUADHIMISHA SIKU YAKE YA KUZALIWA. HONGERA MAMA, KAZI IENDELEE
Kwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassani, katika siku yako hii ya kuzaliwa, tunakupongeza kwa kuleta nuru, hekima, na mabadiliko katika uongozi wa nchi yetu. Siku ya kuzaliwa kwako ni ishara ya mwanzo mpya na fursa za kuendeleza maadili na maendeleo kwa Watanzania wote. #MSLAC
HERI YA SIKU YA KUZALIWA MAMA
TANZANIA YAFUNGUA MILANGO KWA MAENDELEO; KUONGEZA UWEKEZAJI WA GESI, KUVUTIA BILIONI 1 ZA UWEKEZAJI, NA USHIRIKIANO NA INDONESIA.
Kuongeza Uwekezaji wa TPDC kwenye Kitalu cha Gesi Mnazi Bay Hatua ya kuongeza hisa za TPDC kwenye kitalu cha gesi Mnazi Bay ina lengo la kuimarisha udhibiti wa nchi katika rasilimali za gesi. Kuwa na umiliki mkubwa zaidi kunaweza kuongeza faida kwa Tanzania na kuhakikisha uwiano mzuri wa manufaa kati …
Soma zaidi »