
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkurugenzi wa Ubunifu na uendeshaji wa Kiwanda cha Indesso Bi. Rosalina Privita mara baada ya kukagua shughuli mbalimbali za Kiwanda hicho cha Karafuu nchini Indonesia

Amesema kuwa sekta ya fedha ni kichocheo kikubwa katika ukuaji wa Uchumi na ustawi wa …