Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama kabla ya kutoa heshima mbele ya mnara wa Kumbukumbu ya Makaburi ya Mashujaa ya Kalibata, wakati wa ziara yake ya Kitaifa Jakarta nchini Indonesia
MatokeoChanya
January 27, 2024
DIPLOMASIA, Matokeo ChanyA+, Tanzania, Tanzania MpyA+
232 Imeonekana