Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Fatma Mwassa amekataa Mradi wa Barabara ya Zege iliyojengwa Chini ya kiwango , katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro kata ya Matombo barabara ya Kigongo Juu . Mkuu wa Mkoa Mhe Fatma Mwassa amemuagiza Katibu tawala wa Mkoa docta Mussa pamoja na Engineer wa Mkoa …
Soma zaidi »TARURA SINGIDA YAOKOA ZAIDI YA BILIONI 1.8 UJENZI WA DARAJA WILAYANI MANYONI
Watendaji wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Wilaya ya Manyoni wakikagua daraja hilo. Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dk. John Magufuli kupitia watendaji waaminifu wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) imeokoa zaidi ya bilioni 1.8 kwenye ujenzi ambao tayari umekamilika wa daraja la …
Soma zaidi »TARURA WAHIMIZWA KUONGEZA KASI YA UTENDAJI KAZI
Na. Erick Mwanakulya. Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Dkt. Festo S. Dugange ameutaka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kuongeza kasi ya uboreshaji miundombinu ya barabara na madaraja na kushughulikia kwa wakati athari zinazotokea za uharibifu wa miundombinu …
Soma zaidi »TARURA YAPONGEZWA UJENZI WA DARAJA LA KANKWALE MKOANI RUKWA
Na. Erick Mwanakulya, Rukwa. Wananchi wa Kata ya Senga Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga, mkoani Rukwa wameipongeza Serikali kupitia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa ujenzi wa Daraja la Kankwale linalounganisha Sumbawanga Asilia na Kankwale. Naye, Mkazi wa Mtaa wa Katambazi Bw. Erod Kastiko ameishukuru Serikali kwa …
Soma zaidi »MAWASILIANO YAREJESHWA MTO RAU
Na. Bebi Kapenya, Kilimanjaro. Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), umeendelea kurejesha mawasiliano katika maeneo mbalimbali nchini yaliyoathiriwa na mvua zilizosababisha athari kubwa kwa watumiaji wa barabara pamoja na madaraja. Wakala umejenga daraja la muda la Chuma la Mto Rau Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro baada …
Soma zaidi »