MKOA WA MOROGORO

ZIARA YA RC MOROGORO YAUKATAA MRADI WA BARABARA MOROGORO VIJIJINI

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Fatma Mwassa amekataa Mradi wa Barabara ya Zege iliyojengwa Chini ya kiwango , katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro kata ya Matombo barabara ya Kigongo Juu . Mkuu wa Mkoa Mhe Fatma Mwassa amemuagiza Katibu tawala wa Mkoa docta Mussa pamoja na Engineer wa Mkoa …

Soma zaidi »

MAENDELEO YA UJENZI WA KITUO JUMUISHI CHA UTOAJI HAKI CHA MAHAKAMA YA TANZANIA KINACHOJENGWA MJINI MOROGORO

Maendeleo ya Ujenzi wa Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki cha Mahakama ya Tanzania kinachojengwa Mjini Morogoro. Jengo hilo litajumuisha Ngazi zote za Mahakama na Wadau wote wa shughuli za Kimahakama, Ujenzi wa Jengo hilo unatarajia kukamilika ifikapo mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu. Picha na Maelezo Tv

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MAHANDAKI YATAKAYOPITISHA TRENI YA KISASA YA UMEME (SGR) KILOSA MKOANI MOROGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Eng. Isack Kamwelwe pamoja na viongozi mbalimbali akiweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Mahandaki ya Reli yatakayopitisha Treni ya Kisasa ya Umeme Standard Gauge katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro. Rais wa Jamhuri …

Soma zaidi »