UCHUMI

TRA Imekusanya Tsh. Trilioni 3.05 mwezi Desemba 2023.

TRA ilikusanya Trilioni 3.05 mwezi Desemba 2023, ukusanyaji wa juu zaidi kwa mwezi katika historia. Ilipita lengo lake kwa asilimia 102.9%. Mwelekeo wa Ukusanyaji wa Mapato kwa miezi 6 iliyopita. Julai – Trilioni 1.9 ,Agosti – Trilioni 2 ,Septemba – Trilioni 2.6 , Oktoba – Trilioni 2.148 ,Novemba – Trilioni 2.143 ,Desemba – Trilioni 3.049. Wajibu …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa ugawaji wa vizimba vya kufugia Samaki na Boti za Kisasa kwa ajili ya Wavuvi wa Kanda ya Ziwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ugawaji wa vizimba vya kufugia Samaki na Boti za Kisasa kwa ajili ya Wavuvi wa Kanda ya Ziwa kwenye hafla fupi iliyofanyika pembezoni mwa Ziwa Victoria (Bismarck Rock) Jijini. Boti na vizimba hivyo vimegaiwa …

Soma zaidi »