WIZARA YA AFYA

RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MJINI MAGHARIBI-ZANZIBAR 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daktari. Samia Suluhu Hassan, amefungua rasmi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyopo Lumumba Kisiwani Zanzibar. Rais Dkt. Samia amefungua hospitali hiyo leo tarehe 10 Januari, 2024 ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake Kisiwani humo katika kuelekea Maadhimisho ya Mapinduzi Matukufu …

Soma zaidi »

Tumepiga hatua kubwa katika sekta za afya, maji, nishati, elimu, kilimo, uwekezaji, miundombinu, michezo, diplomasia yenye tija kwa taifa letu, uchumi kwa ujumla na maeneo mengine mengi. Katika yote tumebaki kuwa wamoja na wenye amani na utulivu.

Soma zaidi »

KWA MARA YA KWANZA WATAALAMU WAZAWA WAZIBUA MISHIPA PACHA YA MOYO ILIYOZIBA KWA ASILIMIA 95

Kwa mara ya kwanza wataalamu wazawa wa magonjwa ya moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wamezibua mishipa miwili iliyokuwa inapeleka damu kwa wakati mmoja kwenye moyo (mishipa pacha ya damu – bifurcation lesion) ambayo ilikuwa imeziba kwa asilimia 95 na …

Soma zaidi »

SERIKALI YATOA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 480 KWA HOSPITAL YA CHALINZE

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetimiza ahadi zake zilizotolewa na Rais Samiah Suluhu Hassan kwa kupeleka Vifaa tiba Hospitali ya Wilaya ya Chalinze vyenye thamani ya Shilingi Milioni 480 ikiwemo mashine ya Kupiga picha za Mionzi yaani X-Ray, Jokofu la kuhifadhia maiti, mashine za kupimia damu na vifaa …

Soma zaidi »

SERIKALI IMESISITIZA NIA YAKE KUENDELEA KUJENGA, KUBORESHA NA MAZINGIRA WEZESHI KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima akitoa tuzo kwa mmoja wa Wajumbe wa Kamati ya mpito ya Uratibu Uchaguzi wa NaCONGO Francis Kiwanga, katika Mkutano wa Mwaka wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, Jijini Dodoma. Serikali imesisitiza nia yake kuendelea kujenga, kuboresha na  mazingira …

Soma zaidi »