SERIKALI YATOA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 480 KWA HOSPITAL YA CHALINZE

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetimiza ahadi zake zilizotolewa na Rais Samiah Suluhu Hassan kwa kupeleka Vifaa tiba Hospitali ya Wilaya ya Chalinze vyenye thamani ya Shilingi Milioni 480 ikiwemo mashine ya Kupiga picha za Mionzi yaani X-Ray, Jokofu la kuhifadhia maiti, mashine za kupimia damu na vifaa mbalimbali.

Akizungumza baada ya kupokea vifaa hivyo Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete ameishukuru Serikali kwa kutekeleza ahadi hii ndani ya muda wa wiki tatu toka kutolewa kwa ahadi hiyo.

Ad

Ad

Unaweza kuangalia pia

Mitazamo ya Uongozi ya Mhe. Ummy Ally Mwalimu katika Sekta za Afya, Maendeleo ya Jamii, na Haki za Watoto

Ummy Ally Mwalimu ameonyesha mitazamo ya uongozi yenye mwelekeo wa kujali maendeleo na ustawi katika …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *