WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

SERIKALI YA AHIDI KUSIMAMIA KIKAMILIFU MKOPO NAFUU WA SHILINGI TRILIONI 1.3 ULIOTOLEWA NA IMF KUKABILIANA NA ATHARI ZA UVIKO -19

Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Ncgemba, amewahakikishia Wanzania kuwa Mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani milioni 567.3 sawa na shilingi trilioni 1.3 uliotolewa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa ajili ya kukabiliana na athari za Uviko-19 zitasimamiwa kikamilifu ili kuleta tija iliyokusudiwa. …

Soma zaidi »

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KAULI YA SERIKALI KWA WENYE MADUKA YA KUBADILISHA FEDHA ZA KIGENI

Kuna habari zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kuandikwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari zikieleza kuwa Serikali imewataka wafanyabiashara wote wa maduka ya kubadilishia fedha za kigeni walionyang’anywa vifaa vyao na kikosi kazi kilichotumiwa na Serikali wakati wa kuifunga biashara hiyo waende kuchukua vifaa vyao. Habari hiyo imepotosha kauli …

Soma zaidi »

DKT. MWIGULU AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA MISRI

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewakaribisha Wawekezaji kutoka Jamhuri ya Kiarabu ya Misri kuwekeza na kufanya biashara na Tanzania kutokana na uwepo wa mazingira rafiki na fursa za uwekezaji. Waziri nchemba ametoa rai hiyo mjini Cairo Misri, wakati wa Kongamano la Kimataifa la Ushirikiano la Misri (Egypt International …

Soma zaidi »

TANZANIA YAPOKEA MKOPO WA MASHARTI NAFUU WENYE THAMANI YA SHILINGI TRILIONI 2.7 KUTOKA BENKI YA DUNIA

Pichani kulia ni Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Bi. Mara Warwick (kushoto) wakionesha mmoja kati ya mikataba mitano ya mikopo yenye masharti nafuu yenye thamani ya shilingi trilioni 2.7 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi katika sekta …

Soma zaidi »

MAJALIWA AAGIZA UCHUNGUZI WATENDAJI WIZARA YA FEDHA

Waziri Mkuu, Mheshimwa Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi Mkaguzi Mkuu,  Mkaguzi  Msaidizi pamoja na baadhi ya watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha  za umma zinazowakabili. Akizungumza katika Kikao Kazi na Waziri wa Fedha na Mipango, Kaibu Mkuu,Manaibu  Katibu Wakuu na Watendaji Waandamizi wa Wizara …

Soma zaidi »

SERIKALI YAANZA UTEKELEZAJI WA MAELEKEZO YA RAIS NA IMF

Na Farida Ramadhan, WFM – Dodoma Serikali imeanza utekelezaji wa maelekezo ya kikao cha Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Kimataifa (IMF), Bi. Kristalina Georgieva kilichofanyika kwa njia ya mtandao mwanzoni mwa mwezi huu ambacho pamoja na mambo mengine walijadili kuhusu atheri za kiuchumu …

Soma zaidi »

TANZANIA KINARA WA UBORA WA SEKTA YA FEDHA KUSINI MWA AFRIKA

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (Mb) (kushoto) na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. FLorens Luoga, wakisikiliza mada mbalimbali kuhusu masuala ya Fedha na uchumi wakati wa Semina kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, iliyofanyika Zanzibar. Sekta ya Fedha nchini Tanzania inaongoza …

Soma zaidi »