WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

WATANZANIA WAASWA KUTUMIA MPANGO WA FEDHA ILI KUJILETEA MAENDELEO

Na Immaculate Makilika na Jonas Kamaleki- MAELEZO Serikali yawataka watanzania kutumia  Mpango Mkuu wa Maendeleo wa  Sekta ya Fedha ya mwaka 2020/21 hadi 2029/30 ili kujiletea maendeleo kwa ajili ya kukuza uchumi wa nchi. Akizungumza jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa mpango huo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha …

Soma zaidi »

HATUA ZA KISHERIA KUCHUKULIWA KWA TAASISI ZA UMMA ZITAKAZO ANZISHA MIFUMO YA FEDHA BILA KIBALI

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali, Bw. Doto James akizungumza wakati wa halfa ya kupokea ripoti ya tathimini ya Mfumo wa Kielektroniki ya Ukusanyaji wa Mapato na Usimamizi wa Fedha za Umma, ambapo amewaagiza Afisa Masuhuli wote nchini kutotengeneza mifumo yoyote bila kupata kibali …

Soma zaidi »

TANZANIA YAPOKEA SH. BILIONI 34 KUTOKA KUWAIT KUTEKELEZA MRADI WA UMWAGILIAJI LUICHE KIGOMA

Na. Peter Haule na Josephine Majura, WFM, Dodoma Serikali ya Tanzania imepokea mkopo wa masharti nafuu wa Dinar milioni 4.5 sawa na Shilingi bilioni 33.9 kutoka Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait (KFED), kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Umwagiliaji katika Bonde la Mto Luiche mkoani Kigoma. Hayo yameelezwa jijini …

Soma zaidi »

WATENDAJI WA MIKOA WAHIMIZWA KUSIMAMIA USTAWI WA SEKTA YA FEDHA NCHINI

Na Farida Ramadhani, WFM, Morogoro Serikali imewataka watendaji wa mikoa kuhakikisha wanasimamia na kuendeleza Sekta Ndogo ya Fedha nchini kwa kuhamasisha watoa huduma katika sekta hiyo wanasajiliwa na kukata leseni kwa mujibu wa Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018. Agizo hilo limetolewa na Kamishna wa Idara ya …

Soma zaidi »

NCHIZA SADC ZATAKIWA KUPAMBANA NA UGAIDI NA UTAKATISHAJI FEDHA HARAMU

Na Farida Ramadhani, Dar es Salaam Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) zimeshauriwa kuunganisha nguvu zao kupambana na changamoto ya utakatishaji fedha haramu na ufadhili wa makundi ya kigaidi zinazotishia usalama na kuharibu uchumi wa nchi hizo  . Ushauri huo umetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara …

Soma zaidi »

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TANZANIA KUINGIA KWENYE KUNDI LA NCHI ZA KIPATO CHA KATI

Serikali ya Tanzania chini ya uongozi mahiri wa Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, imeandika historia baada Benki ya Dunia kuitangaza rasmi kuwa nchi yenye uchumi wa kipato cha kati kuanzia tarehe 1 Julai 2020. Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, imeeleza …

Soma zaidi »