Na Immaculate Makilika na Jonas Kamaleki- MAELEZO Serikali yawataka watanzania kutumia Mpango Mkuu wa Maendeleo wa Sekta ya Fedha ya mwaka 2020/21 hadi 2029/30 ili kujiletea maendeleo kwa ajili ya kukuza uchumi wa nchi. Akizungumza jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa mpango huo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha …
Soma zaidi »HATUA ZA KISHERIA KUCHUKULIWA KWA TAASISI ZA UMMA ZITAKAZO ANZISHA MIFUMO YA FEDHA BILA KIBALI
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali, Bw. Doto James akizungumza wakati wa halfa ya kupokea ripoti ya tathimini ya Mfumo wa Kielektroniki ya Ukusanyaji wa Mapato na Usimamizi wa Fedha za Umma, ambapo amewaagiza Afisa Masuhuli wote nchini kutotengeneza mifumo yoyote bila kupata kibali …
Soma zaidi »TANZANIA YAPOKEA SH. BILIONI 34 KUTOKA KUWAIT KUTEKELEZA MRADI WA UMWAGILIAJI LUICHE KIGOMA
Na. Peter Haule na Josephine Majura, WFM, Dodoma Serikali ya Tanzania imepokea mkopo wa masharti nafuu wa Dinar milioni 4.5 sawa na Shilingi bilioni 33.9 kutoka Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait (KFED), kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Umwagiliaji katika Bonde la Mto Luiche mkoani Kigoma. Hayo yameelezwa jijini …
Soma zaidi »WATENDAJI WA MIKOA WAHIMIZWA KUSIMAMIA USTAWI WA SEKTA YA FEDHA NCHINI
Na Farida Ramadhani, WFM, Morogoro Serikali imewataka watendaji wa mikoa kuhakikisha wanasimamia na kuendeleza Sekta Ndogo ya Fedha nchini kwa kuhamasisha watoa huduma katika sekta hiyo wanasajiliwa na kukata leseni kwa mujibu wa Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018. Agizo hilo limetolewa na Kamishna wa Idara ya …
Soma zaidi »SERIKALI IMEPOKEA GAWIO LA KIASI CHA SHILINGI BILIONI 15.2
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Phillip Mpango (katikati), akipokea mfano wa hundi kwa niaba ya Serikali yenye thamani ya Sh. Bilioni 15.2 ikiwa ni gawio kutoka kwa Benki ya NMB, wa pili kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo …
Soma zaidi »WATOA HUDUMA NDOGO YA FEDHA WATAKIWA KUJISAJILI NA KUKATA LESENI
Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Dionesia Mjema akitoa maelezo ya awali katika mafunzo ya Sera, Sheria na Kanuni za Huduma Ndogo za Fedha kwa wadau wa Kanda ya Kati kutoka mikoa ya Iringa Dodoma na Singida, yaliyofanyika mjini …
Soma zaidi »SADC YAZIPONGEZA TANZANIA NA MAURITIUS KUPANDA KIUCHUMI
Na Farida Ramadhani, Dar es Salaam Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imezipongeza nchi za Tanzania na Mauritius kwa kufanikiwa kuingia katika uchumi wa kati na juu licha ya changamoto mbalimbali za kiuchumi zilizoikumba Jumuiya hiyo. Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na …
Soma zaidi »NCHIZA SADC ZATAKIWA KUPAMBANA NA UGAIDI NA UTAKATISHAJI FEDHA HARAMU
Na Farida Ramadhani, Dar es Salaam Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) zimeshauriwa kuunganisha nguvu zao kupambana na changamoto ya utakatishaji fedha haramu na ufadhili wa makundi ya kigaidi zinazotishia usalama na kuharibu uchumi wa nchi hizo . Ushauri huo umetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara …
Soma zaidi »MFUMUKO WA BEI MWEZI JUNI WAENDELEA KUWA ASILIMIA 3.2
Na Mwandishi Wetu- MAELEZO Mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwezi Juni 2020 umeendelea kuwa asilimia 3.2 kama ilivyokuwa mwezi Mei, 2020. Akizungumza Julai 8, 2020 Jijini Dodoma, Kaimu Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Bi. Ruth Minja amesema kuwa …
Soma zaidi »TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TANZANIA KUINGIA KWENYE KUNDI LA NCHI ZA KIPATO CHA KATI
Serikali ya Tanzania chini ya uongozi mahiri wa Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, imeandika historia baada Benki ya Dunia kuitangaza rasmi kuwa nchi yenye uchumi wa kipato cha kati kuanzia tarehe 1 Julai 2020. Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, imeeleza …
Soma zaidi »