WIZARA YA MAMBO YA NJE

RAIS SAMIA SULUHU AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA NCHI, WIZARA YA MAMBO YA NJE YA SHIRIKISHO LA JAMHURI YA UJERUMANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na kuagana na Waziri wa Nchi, Wizara ya Mambo ya Nje ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Katja Keul mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Aprili, 2022. Rais wa Jamhuri …

Soma zaidi »

WAZIRI MULAMULA AMUAGA BALOZI WA UGANDA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula amemuaga Balozi wa Unganda nchini Richard Kabonero ambaye amemaliza muda wake wa uwakilishi hapa nchini katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika tukio hilo Waziri Mulamula amempongeza Balozi Kabonero kwa kazi nzuri aliyoifanya …

Soma zaidi »

JAMHURI YA CZECH YAKABIDHI VITANDA VIWILI VYA KISASA VYA WAGONJWA OCEAN ROAD

Na Mwandishi wetu, Dar Jamhuri ya Czech kwa kushirikiana na kampuni ya Linet Group pamoja na Gama Pharmaceuticals (T) Limited imefanikiwa kuchangia vitanda viwili vya kisasa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road vyenye thamani ya shilingi milioni 16 za kitanzania. Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Czech …

Soma zaidi »

WAFANYABIASHARA, WAWEKEZAJI KUTOKA CZECH WAONYESHA UTAYARI KUWEKEZA TANZANIA

Na Mwandishi wetu, Dar Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Jamhuri ya Czech wameonesha nia ya kuwekeza katika sekta ya kilimo hasa Pamba pamoja na viwanda vya nguo hapa nchini. Akibainisha kuhusu utayari wa Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Czech, kuwekeza hapa nchini, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Czech Mhe. …

Soma zaidi »

MWENYEKITI MTENDAJI WA SHELL ATETA NA BALOZI WA TANZANIA

Makamu wa Rais na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Shell ya Uholanzi mwenye makazi yake Tanzania, Bw. Jared Kuehl alitembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Uholanzi na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini humo,  Irene Kasyanju hivi karibuni.  Katika mazungumzo hayo, Pamoja na mambo mengine, Bw. Kuehl alimhakikishia Balozi Kasyanju …

Soma zaidi »

WAZIRI MULAMULA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA MAKAMPUNI YA THE PULA GROUP JIJINI DAR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Dr. Donald Wright alipowasili kwenye sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Peace Corps Tanzania yaliyofanyika kwenye viunga vya Taasisi hiyo jijini Dar es Salaam. Waziri wa Mambo …

Soma zaidi »

KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA (NUU) YAPIGWA MSASA

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeipiga msasa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) kwa kuipatia mafunzo maalumu yenye malengo mbalimbali hasa maslahi ya Taifa. Pamoja na mambo mengine, mafunzo hayo pia yatajikita  katika masuala ya Itifaki, mawasiliano ya …

Soma zaidi »