WIZARA YA MAMBO YA NJE

HUNGARY NA TANZANIA ZATILIANA SAHIHI UFADHILI WA WANAFUNZI WA KITANZANIA

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Abdallah Possi akisaini makubaliano ya ufadhili wa masomo kwa wanafunzi 30 wa Kitanzania Nchini Hungary. Tanzania na Hungary zimetiliana saini makubaliano ya ufadhili kwa Wanafunzi zaidi ya 30 wa Kitanzania kwenda kusoma katika vyuo vikuu vya Nchini Hungary katika kipindi cha miaka …

Soma zaidi »

TANZANIA, NAMIBIA ZAKUBALIANA KUIMARISHA SEKTA ZA UVUVI NA MIFUGO

Katika jitihada za kuendeleza Diplomasia ya Uchumi, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekubaliana na Jamhuri ya Namibia kuimarisha sekta za uvuvi na mifugo. Makubaliano hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salaam ambapo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi (Mb) amekubaliana na …

Soma zaidi »

TANZANIA YAUNGA MKONO AZIMIO LA AU KUONGEZA MIAKA 10 YA KUONDOA NA KUTOKOMEZA SILAHA HARAMU

Umoja wa Afrika (AU) umezitaka nchi wanachama wa umoja huo kutilia mkazo azimio la kuondoa na kutokomeza silaha haramu ili kuliondoka na migogoro inayolifanya bara hilo kushindwa kusonga mbele kiuchumi. Akifungua Mkutano wa 14 wa dharura wa Umoja wa Afrika unaofanyika kwa njia ya mtandao (virtual Conference) Mwenyekiti wa Umoja …

Soma zaidi »

RAIS WA UFARANSA AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUIWEZESHA TANZANIA KUINGIA KATIKA NCHI YA UCHUMI WA KATI

Rais wa Ufaransa Mhe. Emmanuel Macron amemwandikia barua ya pongezi Rais wa Jamhuri ya wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia katika hadhi ya nchi ya uchumi wa kati ikiwa ni miaka mitano kabla ya muda uliotarajiwa. Katika barua hiyo Rais wa Ufaransa Mhe Emmanuel Macron amempongeza …

Soma zaidi »

BALOZI IBUGE ATAMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI ETHIOPIA

Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge akisaini kitabu cha wageni katika Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS SAMIA KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI MKUTANO WA SADC WA ORGAN TROIKA

Na Nelson Kessy, Gaborone-Botswana Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajia kumwakilisha Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwenye Mkutano wa dharura wa pamoja baina ya SADC Organ Troika (Botswana, Malawi na Zimbabwe), na nchi zinazochangia Vikosi vya ulinzi na amani vya Umoja …

Soma zaidi »

PROF. KABUDI ALIVYOPOKELEWA WIZARANI BAADA YA KULA KIAPO IKULU CHAMWINO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi akipokea shada la maua kutoka kwa mtumishi wa wizara alipokaribishwa Wizarani baada ya kuapishwa. Matukio katika picha yakionesha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi alipopokelewa na …

Soma zaidi »