WAZIRI NAPE AKUTANA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU DODOMA
Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mha. Kundo Mathew (wa katikati) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Jim Yonazi (kushoto) wakati wa kikao cha kuwasilisha taarifa ya utekelezaji ya Wizara hiyo ya mwaka wa fedha 2021/2022 na bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 …
Soma zaidi »DKT. KIJAJI AKUTANA NA WAKUU WA TAASISI BAADA YA WIKI TATU TANGU KUAPISHWA KWAKE
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Zainab Chaula akizungumza wakati wa kikao kazi cha Waziri wa Wizara hiyo, Dkt. Ashatu Kikaji (kushoto) na wakuu wa taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo (hawapo pichani) katika ukumbi wa Ofisi za Wizara hiyo zilizopo mji wa Serikali …
Soma zaidi »ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI IWE AJENDA YA KUDUMU KWENYE VIKAO VYA HALMASHAURI
Waziri Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza na wajumbe wa ALAT inayojumuisha Mateus, Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhusu utekelezaji na manufaa ya Anwani za Makazi na Postikodi katika semina iliyofanyika jijini Dodoma Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Ashatu Kijaji …
Soma zaidi »DKT. NDUGULILE AKABIDHI RASMI OFISI YA WIZARA KWA WAZIRI MPYA DKT. KIJAJI
Prisca Ulomi na Faraja Mpina, Dodoma Mbunge wa Kigamboni na aliyekuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile tarehe 20.09.2021 amekabidhi rasmi Ofisi kwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. …
Soma zaidi »PROGRAMU TUMIZI YA SIMU ZA MKONONI (MOBILE APP) YA MFUMO WA ANWANI NA POSTIKODI YATAMBULISHWA KWA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI NA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Zainab Chaula na timu yake ya wataalamu wametoa wasilisho la programu tumizi ya simu za mkononi (Mobile App) ya Mfumo wa Anwani za Makazi na Postikodi pamoja na hatua iliyofikiwa ya usimikaji wa Mfumo huo nchini kwa Wakurugenzi wa …
Soma zaidi »MAFUNDI SIMU ACHENI KUFUTA IMEI NAMBA – WAZIRI NDUGULILE
Na Prisca Ulomi, WMTH, Arusha Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amewaasa baadhi ya mafundi simu za mkononi kuacha tabia ya kufuta IMEI namba wanapoletewa simu na wateja wao. Dkt. Ndugulile ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya siku ya kwanza mkoani Arusha wakati akizungumza na …
Soma zaidi »WIZARA YAWAKUTANISHA WADAU KUJADILI MAPENDEKEZO YA KUTUNGWA KWA SHERIA YA TEHAMA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt Zainab Chaula akizungumza wakati akifunga kikao cha wadau cha kujadili mapendekezo ya kutungwa kwa Sheria ya TEHAMA kilichofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria Lugano Rwetaka na Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi …
Soma zaidi »PROGRAMU RUNUNU YA NAPA KUNUFAISHA SEKTA MTAMBUKA
Na Faraja Mpina, WMTH Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imewakutanisha wadau mbalimbali wa Anwani za Makazi na Postikodi ili waweze kutoa maoni kuhusu ujenzi wa Programu Rununu ya Anwani za Makazi na Postikodi (National Adddressing and Postcode mobile Application-NAPA) unaoendelea kufanyika Mkoani Morogoro na timu ya wataalamu wa …
Soma zaidi »DKT. YONAZI: TPC CHANGAMKIENI KILA FURSA
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Jim Yonazi amelitaka Shirika la Posta Tanzania kuchangamkia kila fursa inayotokea katika biashara na kuongeza ubunifu wa biashara hizo. Ameyasema hayo leo Februari 14, 2021 katika kikao cha Menejimenti ya Shirika la Posta wakati alipokuwa akitoa semina ya mafunzo …
Soma zaidi »