Taarifa ChanyA+

May, 2024

April, 2024

March, 2024

  • 21 March

    MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA MRADI WA MAJI SAME MWANGA KOROGWE

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mradi wa maji Maji wa Same – Mwanga – Korogwe wakati alipotembelea chanzo cha mradi huo eneo la la Nyumba yaMungu Wilaya ya Mwanga wakati akiwa ziarani mkoani Kilimanjaro tarehe 21 Machi 2024. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika eneo la Nyumba ya Mungu Wilaya ya Mwanga kwaajiliya kutembelea na kukagua chanzo cha maji cha mradi wa Maji wa Same – Mwanga – Korogwe wakati akiwa ziarani mkoani Kilimanjaro tarehe 21 Machi 2024. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameagiza uongozi wa Wizara ya Maji pamoja na …

    Soma zaidi »

February, 2024

January, 2024