Maktaba Kiungo: Bunge

WAZIRI SIMBACHAWENE AIELEZEA YA KAMATI BUNGE MCHAKATO WA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA

Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) leo Agosti 27, 2019 imewasilisha taarifa zake mbili kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira jijini Dodoma. Taarifa zilizowasilishwa ni ya Utekelezaji wa Maazimio ya Bunge yanayohusiana na majukumu ya Wizara yaliyotokana na Mapendekezo ya Kamati hiyo katika …

Soma zaidi »

SERIKALI YAOKOA MABILIONI UENDESHAJI MASHAURI YA MADAI

Serikali imesema mabadiliko kwenye sekta ya sheria nchini hususani Ofisi ya Mwanasheria Mkuu yameanza kuleta tija baada ya kuongeza ufanisi na kuokoa fedha ambazo hapo awali zilikuwa zikitumika kuwalipa mawakili binafsi. Akijibu swali la Mbunge wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kuebenea ambae alitaka kujua kiasi cha fedha ambacho serikali imeokoa tangu …

Soma zaidi »