LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI
RAIS DKT. MAGUFULI ASHUHUDIA UTIWAJI SAINI MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI NA AIRTEL
Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya Bharti Airtel ya India juu ya umiliki wa hisa za kampuni Airtel Tanzania na maslahi mengine ya Tanzania kutokana na biashara ya kampuni hiyo. Hafla ya utiaji saini makubaliano hayo imefanyika Ikulu …
Soma zaidi »Rais Magufuli: Vijiji na vitongoji vilivyopo katika maeneo ya hifadhi visiondolewe
Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza kusitishwa mara moja kwa zoezi la kuviondoa vijiji na vitongoji vinavyodaiwa kuwepo katika maeneo ya hifadhi na amewataka viongozi wa wizara zote zinazohusika kukutana ili kubainisha na kuanza mchakato wa kurasimisha maeneo ya vijiji na vitongoji hivyo. Mhe. Rais Magufuli ametoa agizo hilo Ikulu …
Soma zaidi »WIZARA YAZINDUA USHIRIKIANO MAMLAKA KUU SEKTA YA SHERIA
Wizara ya katiba na Sheria imezindua ushirikiano wa Mamlaka Kuu za Sheria nchini zitakazokaa pamoja kubainisha uwezo na changamoto zinazoikabili sekta ya sheria nchini na kuzifanyia kazi ili kuongeza ufanisi wa sekta hiyo na hivyo kutoa mchango stahiki kwa taifa. Ushirikiano huo umezinduliwa jijini Dar es Salaam na Waziri wa …
Soma zaidi »DAWASA YATATUA TATIZO LA MAJI KATA YA WAZO NA VITONGOJI VYAKE
Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Mkoa wa Dar es Salaam (DAWASA) imewahakikishia wananchi wa Kata ya Wazo kupata maji kwa kipindi chote kwa mwaka mzima bila kukatika. DAWASA imewekeza zaidi kwa kujenga tanki kubwa litakalikuwa likizalisha lita milioni sita tofauti na mwanzo ilipokuwa ikizalisha lita elfu sitini tu kwa mwaka. …
Soma zaidi »LIVE : UJIO WA AIRBUS A220-300 NGORONGORO.
DAWASA YAKABIDHIWA JENGO, WATAKIWA KUFANYAKAZI KWA BIDII
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof Kitila Mkumbo ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kusimamia miradi ya maji kwa umakini mkubwa. Amewataka DAWASA kuhakikisha kufikia 2020 asilimia 85 ya vijijini na asilimia 95 ya mijini inapata maji safi na salama. Mkumbo amesema hayo …
Soma zaidi »MIKOA 11 VINARA KWA MABARAZA YA BIASHARA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama (Mb), ameitaja mikoa 11 ambayo ilianzisha mabaraza ya Biashara na hadi sasa yako hai na kubainisha kuwa mikoa mingine ilitekeleza agizo la kuanzisha mabaraza hayo tu lakini utendaji wa Mabaraza hayo umekuwa …
Soma zaidi »