Maktaba Kiungo: Kikwete

RAIS MSTAAFU JK AONGOZA KIKAO CHA KAZI NA SHIRIKISHO ZA KIUCHUMI AFRIKA

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika nafasi yake ya mjumbe wa taasisi ya kutokomeza malaria (End Malaria Council) jana aliendesha kikao cha kikazi na wakuu mbalimbali wa Shirikisho za Kikanda za Kiuchumi za Africa. Katika Kikao hicho Mhe. Kikwete alielezea umuhimu wa kuwekeza nguvu za pamoja katika kuutokomeza ugonjwa …

Soma zaidi »

video:#MATAGA – JULIUS NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT MPYA; Wasafiri Kuongezeka Kwa 400% !!

Ni uwanja wa Ndege wa mkubwa wa Kimataifa unaojengwa pembeni mwa uwanja unaotumika sasa (JNIA Terminal 2) Kwa sasa ujenzi umekamilika kwa asilimia 82! Ujenzi wa uwanja huo unatarajia kukamilika mwezi Mei 2019. Ndio uwanja wa ndege wa kisasa na bora zaidi kwa Afrika Mashariki na Kati. Utakuwa na uwezo …

Soma zaidi »