Muonekano wa Uwanja mpya wa ndege jijini Dar es Salaam unaoendelea kujengwa kwa sasa umefikia katika hatua nzuri ambapo ujenzi umefikia 82% na utakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria milioni 6 kwa mwaka ikiwa ni ongezeko la asilimia 300 zaidi ya uwanja wa sasa.

video:#MATAGA – JULIUS NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT MPYA; Wasafiri Kuongezeka Kwa 400% !!

  • Ni uwanja wa Ndege wa mkubwa wa Kimataifa unaojengwa pembeni mwa uwanja unaotumika sasa (JNIA Terminal 2)
  • Kwa sasa ujenzi umekamilika kwa asilimia 82!
  • Ujenzi wa uwanja huo unatarajia kukamilika mwezi Mei 2019.
  • Ndio uwanja wa ndege wa kisasa na bora zaidi kwa Afrika Mashariki na Kati.
  • Utakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria milioni 6 kwa mwaka kutoka abiria milioni 1.5 wanaohudumiwa katika kiwanja kilichopo sasa.

#SisiNiTanzaniaMpyA+

Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *