Maktaba Kiungo: Miundombinu

BARABARA YA MBINGA-MBAMBA BEY KUKAMILIKA 2021

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekagua mradi wa ujenzi wa barabara ya lami kutoka Mbinga kwenda Mbamba bey yenye urefu wa kilomita 69 itakayogharimu sh. bilioni 129.3. Amekagua barabara hiyo leo (Ijumaa, Januari 4, 2019) wakati akielekea wilayani Mbinga akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi ya siku …

Soma zaidi »

DAWASA YAKABIDHIWA JENGO, WATAKIWA KUFANYAKAZI KWA BIDII

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof Kitila Mkumbo ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kusimamia miradi ya maji kwa umakini mkubwa. Amewataka DAWASA kuhakikisha kufikia 2020 asilimia 85 ya vijijini na asilimia 95 ya mijini inapata maji safi na salama. Mkumbo amesema hayo …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA MJI WA SERIKALI ENEO LA IHUMWA JIJINI DODOMA

Akuta baadhi ya wakandarasi wanasuasua, wengine wako vizuri Aitisha kikao cha Mawaziri, Makatibu Wakuu wote kesho saa 5 asubuhi Ataka leo jioni apewe taarifa ya kila taasisi inayohusika Ihumwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa eneo la Mji wa Serikali lililoko Ihumwa na kubaini kuwa baadhi ya wakandarasi hawaendi …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA UJENZI WA DARAJA JIPYA SELANDER NA BARABARA UNGANISHI TOKA AGA KHAN HADI COCO BEACH

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 20 Desemba, 2018 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja jipya la Selander linalounganisha eneo la Aga Khan na Coco Beach Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kupunguza msongamano wa magari katika barabara ya …

Soma zaidi »