UJENZI WA GATI JIPYA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Ujenzi wa Gati jipya ndani ya Bandari ya Dar es Salaam ukiendelea kupitia mradi mkubwa wa “DMGP”.

Mpaka kukamilika kwake mradi huu utagharimu zaidi ya Dola Milioni 300 za Marekani. Mradi utahusisha ujenzi wa gati jipya na kuongeza kina cha maji kwenye Gati 1-7 kufikia mita 14.5

Ad

Ad

Unaweza kuangalia pia

UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. PANGANI II WAKAMILIKA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *