UWANJA WA NDEGE TERMINAL 3 WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 99.5
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isaack Kamwele amefanya ziara ya kutembelea mradi wa ujenzi wa jengo jipya la 4 la abiria (Terminal 3) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) leo jijini Dar es Salaam na kuonesha kuridhishwa na usimamizi. Akizungumza na waandishi wa habari …
Soma zaidi »LIVE: MASHINDANO MAALUM YA 20 YA QUR-AAN TUKUFU AFRIKA
MILIONI 700 ZAANZA KUTOA MATOKEO CHANYA KATIKA UKARABATI WA CHUO CHA MAOFISA WA POLISI
LIVE: KUTOKA VIWANJA VYA KARIMJEE KWENYE UTOAJI HESHIMA ZA MWISHO KWA DKT. MENGI
https://youtu.be/QWOgfFlJNf4
Soma zaidi »MRADI WA UMEME WA KINYEREZI 1 EXTENSION KUKAMILIKA MWEZI AGOSTI 2019
Imeelezwa kuwa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi wa Kinyerezi I extension utakamilika mwezi Agosti mwaka huu ambapo utazalisha umeme wa kiasi cha megawati 185. Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili, 2019 na Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani wakati alipofanya ziara ya ukaguzi wa miradi …
Soma zaidi »SERIKALI YATANGAZA AJIRA ZAIDI YA 1,600 NDANI YA UTUMISHI WA UMMA
Serikali ya awamu ya tano imeendelea kutekeleza kwa vitendo ahadi yakeya kutoa fursa za Ajira kwa Watanzania wenye sifa, ujuzi na elimu katikag ngazi mbalimbali kadri ya mahitaji kwa lengo la kuongeza rasilimaliwatue Serikaliniili kuongeza ufanisi katika kuwahudumia wananchi. Kati ya mwezi Machi na Aprili, 2019 zaidi ya nafasi wazi …
Soma zaidi »WAGONJWA 15 KUPATA MATIBABU YA KUZIBUA MISHIPA YA DAMU YA MOYO
Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na mwenzao wa Hospitali ya Meditrina ya nchini India wanafanya kambi maalum ya matibabu ya moyo kwa siku tatu ya kuzibua mishipa ya damu ambayo imeziba kwa kiwango kikubwa (Chronic Total Occlusion) na hivyo kushindwa kupitisha damu vizuri. …
Soma zaidi »UJENZI WA SGR DAR MPAKA MORO WAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 48
SERIKALI KUFANYA MABADILIKO YA KANUNI ZA MATUMIZI YA NYAVU BAHARINI
Serikali imepanga kufanya mabadiliko ya kanuni za matumizi ya nyavu upande wa bahari ili wavuvi waweze kutumia nyavu za milimita nane badala ya milimita kumi zilizokuwa zikitumika awali. Hayo yamesemwa leo, Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Ukerewe, …
Soma zaidi »