Maktaba Kiungo: MKOA WA DODOMA

MISRI YAKUBALIANA NA TANZANIA KUJENGA KIWANDA KIKUBWA CHA NYAMA NA NGOZI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina amesema serikali za Tanzania na Misri zimekubaliana kuanzishwa kwa kiwanda kikubwa cha nyama na mazao ya ngozi hapa nchini. Waziri Mpina amebainisha hayo  Februari 5,2019 ofisini kwake jijini Dodoma mara baada ya kupata ugeni kutoka nchini Misri ukiongozwa na Waziri wa Kilimo …

Soma zaidi »

SERIKALI YAZIPIGA JEKI HALMASHAURI 12 KUTEKELEZA MIRADI YA KIMKAKATI YA SHILINGI BILIONI 137

Serikali, kupitia Wizara ya Fedha na Mipango, imezipatia Halmashauri 12 nchini ruzuku ya shilingi bilioni 137 kwa ajili ya kutekeleza Miradi 15 ya kimkakati, yenye lengo kuhakikisha Halmashauri zinaongeza mapato ya ndani  na kupunguza utegemezi wa kibajeti kutoka Serikali Kuu. Hafla ya uwekaji wa saini mikataba ya ruzuku hiyo umefanyika …

Soma zaidi »

WIZARA YA MADINI YAANZA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA RAIS MAGUFULI, KUANZISHA MASOKO YA MADINI

Wizara ya Madini imeanza utekelezaji wa Maagizo mbalimbali yaliyotolewana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe Magufuli yenye lengo la kuboresha mchango wa Sekta ya Madini. Hayo yamesemwa na Waziri wa madini Mhe Doto Mashaka Biteko leo tarehe 26 Januari 2019 wakati akitoa taarifa ya wizara …

Soma zaidi »