Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Sweden nchini, Anders Sjoberg baada ya kumtembelea na kufanya nae mazungumzo leo tarehe 30 Januari, 2019 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI, BALOZI WA SWEDEN
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Sweden nchini, Anders Sjoberg alipomtembelea leo tarehe 30 Januari, 2019 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Balozi wa Sweden nchini, Anders Sjoberg alipomtembelea na kufanya nae mazungumzo leo tarehe 30 Januari, 2019 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.