MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MEI 20, 2019
KIPAUMBELE CHA WIZARA NI KUPELEKA NISHATI KWA WANANCHI
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewaeleza watumishi wa Wizara ya Nishati kuwa kipaumbele cha Wizara ni kupeleka nishati kwa wananchi ikiwamo ya Umeme na Gesi hivyo amewaasa kushirikiana kwa pamoja na kufanya kazi kwa weledi. Dkt. Kalemani alitoa kauli hiyo wakati akifungua mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Wizara …
Soma zaidi »LIVE: MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA KUMI NA SABA, KUTOKA BUNGENI
WADAU WA KUANDAA MPANGO KAZI WA PILI WA KITAIFA WA HAKI ZA BINADAMU 2019-2023 WAKUTANA
Wadau wa kuandaa Mpango Kazi wa Pili wa Kitaifa wa Haki za Binadamu 2019-2023 wanakutana kama kamati kupitia maoni ya mtaalamu mshauri kwa ajili ya kuandaa mpango huo. Kikao hicho kinafanyika mjini Singida kimefunguliwa na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome ambaye amewataka wadau hao wahakikishe …
Soma zaidi »LIVE: MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA KUMI NA SABA, MASWALI NA MAJIBU BUNGENI
LIVE:MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA KUMI NA SABA,MASWALI NA MAJIBU BUNGENI
MAKAMU WA RAIS AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA MAZINGIRA CHA BARAZA LA MAWAZIRI JIJINI DODOMA
LIVE: MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA KUMI NA SABA, MASWALI NA MAJIBU BUNGENI
TANZANIA YASHIKA NAFASI YA NNE KWA WATU WANAOAMINI UMILIKI WA ARDHI NA MAKAZI UKO SALAMA
Tanzania imeshika nafasi ya nne kati ya nchi tisa za Kusini na Mashariki mwa Afrika zilizofanyiwa utafiti kwa kuwa na asilimia 64 ya watu wanaoamini kuwa hali ya umiliki wa ardhi na makazi ni salama. Hayo yalibainika wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Matokeo ya Utafiti wa Msingi kuhusu Haki …
Soma zaidi »