JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO HALI YA UCHUMI WA TAIFA NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA SERIKALI 30 Desemba 2018, Dar es salaam. Pato la Taifa (kwa bei za 2007) Uchumi wa Taifa umeendelea kuwa imara, ukikua kwa 7.1% (2017) ikilinganishwa na wastani wa ukuaji wa …
Soma zaidi »WAZIRI KALEMANI AWASHA UMEME KIJIJI CHA IPARAMASA
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amewasha umeme katika Kijiji cha Iparamasa, Wilaya ya Chato mkoani Geita, tukio lililoibua shangwe na nderemo kwa wananchi wa eneo hilo. Tukio hilo lilifanyika jana, Desemba 21, 2018 kijijini hapo, wakati Waziri akiwa katika ziara ya kazi kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini …
Soma zaidi »LIVE; KIKAO CHA MHE. RAIS , MAWAZIRI, WAKUU WA MIKOA NA UONGOZI WA MAMLAKA YA MAPATO NCHINI.
AU
Soma zaidi »MIKOA YA DODOMA,GEITA NA NJOMBE YAONGOZA MAKUSANYO YA KIMKOA
Waziri Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI Selemani Jafo amesema kuwa serikali imekuwa ikifuatilia ukusanyaji wa Mapato katika Halmashauri zote ili kuweza kufanikisha utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Halmashauri zote nchini. Waziri Jafo amesema hayo wakati akitoa taarifa ya makusanyo ya mapato ya Halmashauri zote nchini Mkoani Dodoma. MAKUSANYO …
Soma zaidi »MABENKI YETU, SASA TAMBUENI MADINI KAMA DHAMANA KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO – WAZIRI MKUU
“Mabenki yetu anzisheni utaratibu wa kuweka.. dhamana, kuweka madini ya wananchi.. nunueni dhahabu. Nunueni dhahabu; Ili hawa wananchi badala ya kuhangaika kwenda kwenye minada amabapo wanalaliwa laliwa, aende benki ahifadhi kule.” – Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa “Badala ya kuleta fedha eweke madini yake.. atakuja kuyachukua mwakani nayo yatakuwa yameongezeka thamani. …
Soma zaidi »