LIVE: UZINDUZI WA HUDUMA ZA TIBA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA BUGANDO MWANZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli anazindua Huduma za Tiba Katika Hospitali ya Rufaa Bugando Jijini Mwanza
Soma zaidi »SERIKALI YAIKABIDHI MWAUWASA UJENZI WA MRADI WA MAJI KWIMBA
Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa amekabidhi ujenzi wa mradi wa maji wa Shilima Wilayani Kwimba kwa Mamlaka ya Maji Mwanza (MWAUWASA) baada ya Mkandarasi Kampuni ya Palemon Construction Ltd ya Mwanza kushindwa kukamilisha kwa wakati. Makabidhiano hayo yalifanyika hivi karibuni katika Kijiji cha Shilima na kushuhudiwa na watendaji mbalimbali …
Soma zaidi »WAKAZI ZAIDI YA 1000 WA KANDA YA ZIWA WANUFAIKA NA HUDUMA YA UPASUAJI BURE
Zaidi ya wakazi 1000 wa Kanda ya Ziwa wamenufaika na matibabu bure hasa kwa upande wa upasuaji unaofanywa na Chama cha Madaktari wa Upasuaji Tanzania. Hayo yamebainishwa na Rais wa Chama cha Madaktari wa Upasuaji Tanzania, Dkt. Catherine Mung’ong’o wakati wa siku ya kuhitimisha zoezi la upasuaji lililofanyika kwa siku …
Soma zaidi »BEI YA PAMBA NI SH. 1,200 KWA KILO – WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ana imani kuwa ununuzi wa zao la pamba utaanza mara moja kwa bei ya sh. 1,200 kwa kilo moja katika mikoa yote inayozalisha zao hilo. Amefikia uamuzi huo baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya bei kwa takriban ya wiki nne tangu bei elekezi ilipotangazwa Aprili …
Soma zaidi »LIVE: IBADA YA KUMSIMIKA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU KATOLIKI LA MWANZA
Ibada ya Kumsimika Askofu mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Mwanza Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Leonard Nkwande katika eneo la Kawekamo Jimbo kuu Katoliki la Mwanza .Mei 12,2019.
Soma zaidi »WAZIRI BITEKO AFUNGUA SOKO KUU LA MADINI MKOANI MWANZA
Waziri wa Madini, Doto Biteko amefanya uzinduzi wa Soko Kuu la Madini Mwanza na kutumia fursa hiyo kuwahimiza wachimbaji na wafanyabiashara wa madini kutumia soko hilo kuuzia madini yao na kuachana na tabia ya utoroshaji wa madini. Uzinduzi wa soko hilo unganishi Kanda ya Ziwa umefanyika Mei 08, 2019 katika …
Soma zaidi »SERIKALI KUFANYA MABADILIKO YA KANUNI ZA MATUMIZI YA NYAVU BAHARINI
Serikali imepanga kufanya mabadiliko ya kanuni za matumizi ya nyavu upande wa bahari ili wavuvi waweze kutumia nyavu za milimita nane badala ya milimita kumi zilizokuwa zikitumika awali. Hayo yamesemwa leo, Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Ukerewe, …
Soma zaidi »