Maktaba Kiungo: MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI

MKURABITA YATAJWA KUCHOCHEA MAENDELEO ENDELEVU

Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) umetajwa kuchochea ustawi wa wananchi na kuendana na azma ya Serikali ya Awamu ya Tano kuwakwamua wananchi kiuchumi baada ya kurasimisha mashamba yao ili kufikia maendeleo endelevu. Akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa wakulima zaidi ya 100  wa Kijiji cha Mahama …

Soma zaidi »

MISRI YAKUBALIANA NA TANZANIA KUJENGA KIWANDA KIKUBWA CHA NYAMA NA NGOZI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina amesema serikali za Tanzania na Misri zimekubaliana kuanzishwa kwa kiwanda kikubwa cha nyama na mazao ya ngozi hapa nchini. Waziri Mpina amebainisha hayo  Februari 5,2019 ofisini kwake jijini Dodoma mara baada ya kupata ugeni kutoka nchini Misri ukiongozwa na Waziri wa Kilimo …

Soma zaidi »

SERIKALI YAZIPIGA JEKI HALMASHAURI 12 KUTEKELEZA MIRADI YA KIMKAKATI YA SHILINGI BILIONI 137

Serikali, kupitia Wizara ya Fedha na Mipango, imezipatia Halmashauri 12 nchini ruzuku ya shilingi bilioni 137 kwa ajili ya kutekeleza Miradi 15 ya kimkakati, yenye lengo kuhakikisha Halmashauri zinaongeza mapato ya ndani  na kupunguza utegemezi wa kibajeti kutoka Serikali Kuu. Hafla ya uwekaji wa saini mikataba ya ruzuku hiyo umefanyika …

Soma zaidi »