Waziri wa Kilimo wa Tanzania Mhe Japhet Hasunga (Mb) tarehe 5 Septemba 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Kilimo na Maendeleo Vijijini wa Israel Mhe Uri Yehuda Ariel HaCohen na kukubaliana kwa kauli moja kuwa serikali za nchi hizo mbili kuingia makubaliano ya kuendeleza kilimo hususani katika utafiti, …
Soma zaidi »TUTAFANYA MABADILIKO MAKUBWA KWENYE SEKTA YA KILIMO – WAZIRI HASUNGA
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) amesema kuwa serikali YA Tanzania imejipanga kuikabili sekta ya kilimo ikiwa ni pamoja na kuona umuhimu wa kuwaandaa watanzania katika kubadilisha kilimo chao kutoka kwenye kilimo cha kujikimu na kuwa kilimo cha kibiashara. Waziri Hasunga ameyasema hayo leo tarehe 3 Septemba 2019 wakati …
Soma zaidi »LIVE: MKUTANO WA MAWAZIRI NA WAFANYABIASHARA WA MAZAO YA NAFAKA
Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga na Naibu Wake Hussein Bashe, wanaendelea na mkutano wao na wafanyabiashara wa mazao ya nafaka… Mkutano huo unafanyika katika Kituo Cha Kimataifa cha Mikutano Julius Nyerere jijini Dar es Salaam,
Soma zaidi »LIVE: ZIARA YA SIKU 2 YA RAIS MATAMELA CYRIL RAMAPHOSA WA AFRIKA KUSINI NCHINI TANZANIA
DOMINGOS:TUTAENDELEA KUBORESHA, KUIMARISHA NA KUHAMASISHA BIASHARA ZA MAZAO YA KILIMO SADC.
Sekratarieti ya Chakula, Kilimo na Malisili kutoka Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC) imesema kuwa itaendelea kufanya kazi karibu na wananchi walioko kwenye ukanda wa Jumuiya hiyo ili kuimarisha utekelezaji wa Sera ya Maendeleo ya 2015-2020 SADC hasa kwenye Sekta ya Biashara kwa …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AMEFUNGA MAONESHO YA WAKULIMA 88 MKOANI MOROGORO
LIVE: WAZIRI MKUU KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA NANENANE
RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA MAADHIMISHO YA AWAMU YA NNE YA WIKI YA VIWANDA KWA NCHI ZA SADC JIJINI DAR ES SALAAM
NAIBU WAZIRI BASHE ATUA WIZARANI, WAZIRI WA KILIMO AGAWA MAJUKUMU
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) leo tarehe 22 Julai 2019 ameongoza kikao kazi cha uongozi wa juu wa Wizara ya Kilimo ili kutoa taswira ya muelekeo wa Wizara hiyo. Kikao hicho kilichotuama kwa masaa kadhaa katika Ofisi ndogo za Wizara ya Kilimo Jijini Dar es salaam na …
Soma zaidi »LIVE:RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA WAZIRI NA NAIBU WAZIRI IKULU DSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amuapisha Mhe. George Boniface Simbachawene kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira. Mhe. Simbachawene anachukua nafasi ya Mhe. January Yusuf Makamba ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Wakati huo huo, Mhe. Rais Magufuli amuapisha …
Soma zaidi »