LIVE:RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA WAZIRI NA NAIBU WAZIRI IKULU DSM

 

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amuapisha Mhe. George Boniface Simbachawene kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira.
    Mhe. Simbachawene anachukua nafasi ya Mhe. January Yusuf Makamba ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
    Wakati huo huo, Mhe. Rais Magufuli amuapisha Bw. Hussein Mohamed Bashe kuwa Naibu Waziri wa Kilimo.
    Mhe. Bashe anachukua nafasi ya Mhe. Innocent Lugha Bashungwa ambaye aliteuliwa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara.
Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.