MAKAMU WA RAIS AMEFUNGA MAONESHO YA WAKULIMA 88 MKOANI MOROGORO

MO 1-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Sulemani Jafo,wakati wa kufunga  rasmi Maonesho ya Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane Nane Mwaka 2019 Katika Viwanja vya Nane Nane Mkoani Morogoro.
MO 2-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, wakati wa kufunga  rasmi Maonesho ya Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane Nane Mwaka 2019 Katika Viwanja vya Nane Nane Mkoani Morogoro.
MO 4-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Leo Agost 08, 2019 ameyafunga rasmi Maonesho ya Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane Nane Mwaka 2019 Katika Viwanja vya Nane Nane Mkoani Morogoro.
MO 5-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza wakati wa kufunga  rasmi Maonesho ya Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane Nane Mwaka 2019 Katika Viwanja vya Nane Nane Mkoani Morogoro.
MO 6-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Agost 08, 2019 ameyafunga rasmi Maonesho ya Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane Nane Mwaka 2019 Katika Viwanja vya Nane Nane Mkoani Morogoro.
Ad

Unaweza kuangalia pia

TANZANIA YATAKA AMANI KUPUNGUZA MZIGO WA WAKIMBIZI AFRIKA

Tanzania imetaka Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kimataifa kuongeza jitihada na nguvu katika kuleta …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *